Sijui kwanini nimeumia hivi

Mkuu unaumia sana pole mno

Mm nnae rafki yangu pia ni Single Mum hvhvo shida nyingi sana huwa namsaidia, natuma sana pesa kwake kama kumsaidia yupo Sengerema mm npo Dodoma ktu cha ajabu kila nnapomtumia pesa hanitafut hata kusema Asante yan znapta hata sku2 nd namtafuta mm namuulza vp uliuona mzgo !?

Ndio anaanza eeh nliuona Asante dah yan had nmchek nd ananshukuru.

Imetokea mara kadhaa hyo tabia ,sasa juz yamemkuta mtot kaugua sana akaniomba nmsaidie mwanae akapate matibabu baba wa mtot hapokei simu

Nlimwambia thubutu siwezi huo ujinga ,sipend tabia yakutokushukuru kbs
 
Mkuu huyo mdada hana akili kwasasa muombee yasimkute tena!
 
Pole sana mwaego.. πŸ˜”
 
Si ulijipendekeza mwenyewe, kwan ulishikiwa bunduki utoe?.
Vitu vingine kuwa mtu mzima bas, umetenda wema imetosha, piga bunda acha kung'aa sharubu upewe vi ahsante uchwara.

Kila siku humu mnaambiwa single maza sio oohh mnaona watu miyeyusho, haya sasa kakupiga mpaka wewe mwanamke mwenzake na kitu kizito.

Na usithubutu kuwaambia kwenu maana utaonekana fala
 
Shida zina tabia ya kurudi,umeisha jua ni mtu wa aina gani..as long as ulijionea hali ya mtoto,ukajitoa basi moyo wako uwe mweupe na achana nae. Ingekuwa kakupiga hela hapo ningekushauri aitapike.
 
Sikupingi mkuu
 
Bora ulikwambia ukweli lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…