Sijui kwanini nimeumia hivi

Pole sana, tenda wema nenda zako usingoje shukrani.....kuna siku atakutafuta tena akiwa na shida.....for now mshukuru Mungu tu kwamba hela za wazazi wako hazikwenda bure mtoto alipona
Kwakweli mkuu, nimejifunza kitu pia.. Asante
 
Reactions: ram
Pole sana kwa kile kilichotolea , muombe Mungu akusaidie umsamehe rafiki yako ila kingine jisemeashe moyoni kwamba umefanya kwa ajili ya Bwana na sio kwa ajili yake ili upate baraka za Mungu na kuponya moyo wako na maisha yataendelea
 
Kuna Mama alijitolea kulea watoto wasio na msaada( yatima) hapa mjini tangu miaka ya 1990’s mpaka leo, imagine what ni mtoto mmoja ndio huwa anarudi kutoa shukrani na kusaidia wengine, ni wengi wamepita pale na wapo walio toboa kimaisha na hawajawahi kurudi. Moyo wa mtu kichaka, ukitoa toa bila kukumbuka
 
Atakuwa ameweka na wivu za kimasikini huyo , kutokana kwamba unajionesha we unahera nyingi
 
Duuuh🤔🤔
 
Pole sana kwa kile kilichotolea , muombe Mungu akusaidie umsamehe rafiki yako ila kingine jisemeashe moyoni kwamba umefanya kwa ajili ya Bwana na sio kwa ajili yake ili upate baraka za Mungu na kuponya moyo wako na maisha yataendelea
Amen🙏
 
Jamani😃😃
Ni hivyo tu
Kuna duka moja hapa mjini kwetu yaani lipo bize sana kumuona yule mtoa huduma ni kasheshe ila ukiwa pale unaona anapokea simu. Basi unatoka nje unampigia simu anapokea unampa maelekezo😅
 
Yani amejiloga jinsi shida isivyo na adabu. Umekua kisima kuanzia sasa asipokuja kuyachota atakuja kuyanywa. Usiumie. U did your part. Nimemind kama mm vile
 
Angalia na watu wa kusaidia. Kama haiwezekani basi usisaidie yoyote ambaye siyo ndugu yako tumbo moja. Simple.

Usisikilize hawa chawa wanaokuambia tenda wema nenda zako. Huo ni ufala. Kama mtu unatenda wema alafu wanakupuuza basi tambua hawakuoni wewe mwema, bali wanakuona boya. Na usikubali kuumia kwa ajili ya watu wasiokuthamini wala kuona umuhimu wako.

Cha kufanya mtafute huyo uliyemsaidia, kaa nae chini akuambie kinachoendelea na kwanini hakukupa feedback kama first responder wa tatizo lake, hapo utapunguza maumivu ya kupuuziwa. Na baada ya hapo kata mawasiliano.
 
Yani amejiloga jinsi shida isivyo na adabu. Umekua kisima kuanzia sasa asipokuja kuyachota atakuja kuyanywa. Usiumie. U did your part. Nimemind kama mm vile
Yaani, ila asante mkuu nimejifunza kitu
 
Siku zote ishi kwa kusaidia bila kutegemea malipo yeyote. Iwe ya shukrani ama chochote.

Kwa sababu hata shukrani isingekuongezea chochote.
Nah! This is bullshit. Shukrani inasaidia kujua kama msaada wako umefika na umefanya kile ulichotegemea. Au wewe uko tayari kusaidia bila kujua msaada wako umeenda wapi?

Acheni kumshauri huyu jamaa ujinga awe zoba na boya.
 
Fanya wema nenda zako hayo mengine mwachie mwenyewe tayar una fungu lako sehemu maana dhamira Yako ilikuwa njema na kwa Kukaa kwako kimya ni jibu moja ambalo litamchoma maisha yote hapa duniani.
 
Yaani nashindwa kueleza ninavyojiskia,, sihitaji anilipe chochote wala chochote ila tu nimeumia ndomana najishangaa kwanini inakua hivi hadi nashindwa kujizuia.. Hata sielewi naumia nini yani
HAHAHA! Unaumia sababu akili yako inajua umefanya kitu kwa nia njema ya kusaidia, na baada ya hapo uliyemsaidia amekupuuza. Kinachouma ni usaliti aliokufanyia.
Cha kufanya ni mtafute huyo uliyemsaidia, kaa nae chini muulize kiustaarabu kabisa hali ya kinachoendelea. Psychologically utajisikia vizuri baada ya kuona uso wake ukijaribu kuficha chochote alichokificha kichwani. Then baada ya hapo kata mawasiliano. Usikubali kuwa doormat. I repeat, usikubali kuwa doormat sababu the whole world will walk over you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…