Sijui kwanini nimeumia hivi

Achana naye,kwa vile umesaidia pakubwa kuokoa roho ya huyo mtoto Mungu atakupa baraza zaidi,yeye anaona amefanya ujanja ila ni ujinga.
 
Mh hii ni hatari!
 
Kila siku huwa nasema hawa viumbe kama si mama yako, dada au ndugu wa karibu musiwasaidie.
Ukimsaidia mwenzako anafikiri kuwa umepandwa na ashki na kwamba unamlia timing.
Amekunyoosha .
Vizuri sana
 
Ingratitude is like a weed it grows naturally but
Gratitude someone must learn from others hata yesu aliponya watu ukoma ila mmoja tu ndio aligeuka nyuma so just move one mkuu ndio binadamu walivyo
Kwakweli
 
1. Msamehe, pengine kuchangiwa na changamoto hizo au kitu kingine;
2. Binadamu tunapenda appriciation ni sawa kujisikia hivyo;
 
Single mother ndivyo walivyo. Utamnunulia Vitz, akitokea MTU akamuwekea mafuta full tank atampa lift Hadi tigo ilhali uliyenunua gari hata simu yako haipokelewi.
 
Duuh, sawa.. Ila nadhani ungesoma kwanza kwa utulivu na kunielewa, ni sahihi kwake hata hajanipa taarifa kama wameruhusiwa na wanaendelea vizuri hadi narudi tena hospitali hawapo??? Seriously??
sio sahihi kwake, ila haipaswi kukuumiza ukijua kuwa end goal yako ilikuwa mtoto apone, you shoul take pride of that na sio kuumizwa na kutoshukuriwa. HAVE A BIG HEART..
 
Daah aisee binadamu yaani sijui tukoje. Pole mkuu
 
Umemsaidia mtoto, Mungu ameona ,u never know huyo dogo Ana future gani, kuhusu asante ya mama ake achana nayo...God knows better.
 
Pole sema binadamu ndo walivyo.
 
Sasa dada umeumia hivi na umeomvwa msaada je sisi wanaume tunavyohangaika na shida zenu hadi kuwanunulia assets kesho mnakuja kuona aliyekununulia vocha niwamaana kuliko aliyekununulia simu. Jikaze tu bhana usonge mbele mi nilimsaidia dada mmoja nauli ya kwenda kufanya interview kwenye hospitali moja kubwa moshi alikuwa jirani yangu Goba tokea aende kafanya interview kapata kazi hajawahi hata kunisalmia ndo maisha unahitaji kujikaza siku nyingne punguza kuhurumia watu bet what you can afford to loose[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…