Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Kumwanzishia tuu uzi ni dalili kuwa unamuwaza na bila shaka unampendaWakuu.
Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno.
Shetani bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Siku ukiacha bia utamuelewa
Nikifikiria haya nashindwa kuiacha bia
Kila nikitaka kuacha bia nawafikilia Wananchi wenzangu ninaowapenda na ambao wanategemea mnyororo wa bia ili waishi. 1. Wakulima wa uwele na shairi ambayo ni malighafi ya kutengenezea bia. 2. Madereva na familia zao (na michepuko yao njia nzima) makampuni yanayosafirisha bia. 3. Wafanyakazi...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
hata hivyo kakupita kila kituWakuu.
Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno.
Shetani bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata usipo mpenda huna faida yoyote kwake Cha msingi jiandae kuwa mchawi.Wakuu.
Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno.
Shetani bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond hawezagi kumpiga mtu kijembe Kama ujamchokozakwa maoni yangu kuna vitu viwili vinaweza kuwa vimechangia kukufanya uwe na hali hiyo;
1. ni kwamba watu wengi humu jukwaani wanampenda mno diamond hadi kufikia kumzidishia sifa, kulazimisha wengine wawe na mawazo kama yao, kuforce ulinganifu na wanamuziki wengine (katika hili muathirika mkubwa ni alikiba.....kila atakachokifanya atalinganishwa na diamond; kiwe kikubwa kiwe kidogo lazima ilazimishwe kionwe kuwa ni cha kiwango cha chini humu kulinganisha na 'baba yao') n.k
2. ni tabia ya diamond mwenyewe kupendapenda kuwapiga vijembe wenzake (hii kwa mtu mwenye akili huru huweza kufikiri kuwa pamoja na mafanikio yote aliyonayo bado hapendi wenzake waendelee).
ni hayo tu kwa mawazo yangu!