Sijui kwanini simpendi Diamond na miziki yake

Huyo hamisa alimkosea mondi alipost picha wapo chumbani na mondi ukiachana na hapo alienda kwa mganga ili mondi ampende yeye pekee bahati mbaya video ikavuja.
Hiyo ilikuwa kabla ya mganga kabla hata uhusiano wao haujulikani kiivo inshu ya mganga si ya juzi hiyo ilikuwa kwenye kili music award
 
Team Domo wanamponda mleta mada wakati na wao ni wale wale.

Wanamchukia Harmonize, Aslay, Mavoko, AliKiba Kwa Kuwa Hawana Shobo Na Domo.

Mashabiki Wa Domo Hawana Akili.
 
una Elimu gani wewe wa jalalani

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Nina bachelor degree in civil engineering ambayo mama ako,baba ako na bwana ako diamond hawana,
 
Ni kweli kabisa, huwezi kumchukia mtu, asiye karibu na wewe, wala hakukwazi katika shuguri zako za kila siku.
Ni kweli kwa mtu wa mziki anaweza asiupende mziki wake, ila siyo kumchukia yeye binafsi.
Uchawi sio lazima umiliki tunguli, unahitaji maombi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…