Sijui kwanini watu walimdharau Ruiz

Sijui kwanini watu walimdharau Ruiz

dokolombwike

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
373
Reaction score
616
Wakuu nimefuatilia sana mitazamo ya wapenda masumbwi,karibu asilimia tisini walishangaa kupigwa kwa Antony Joshua

Kama kawaida yangu huwa sipendi kufuata mkumbo,ilinibidi nijiridhishe nione ubovu wa Ruiz

Kumbe Ruiz amepigana mara 34 na kushindwa mara moja,tena alipigana na Joseph Parker,nayo alishinda ila alifanyiwa figisu wakampa ushindi Parker

Sasa AJ kapigana mara ishirini na mbili sijui,utagundua huyu Ruiz ana experience kuliko Anton Joshua

Sasa watu hawafuatilii kazi kusema AJ kauza pambano

Don't judge a book by looking its cover

Go chibonge.
 
Hao wanaosema Antony Joshua aliuza mechi wengi wao hawajui masumbwi au mahaba yanawapelekesha.kuna mdau alianzisha Uzi wenye pumba hizi na alikua akipondea kila mtu aliyekua anaonyesha udhaifu wa Antony Joshua.wengi tulimpuuza maana hatukutaka ubishani Ila kiukweli Antony Joshua ni bondia aliyekua ana kuzwa sana,hana mbavu za kupigana na Tyson fury wala wilder.huyu Ruiz atawashangaza wengi wanaoshabikia masumbwi kwa mihemko,ni bondia aliyekamilika kwa kila kitu ingawa media hazimpi kiki inayostahili kisa ni bonge ata Huyo wilder anaweza kukalishwa
 
Mkuu walimpuuza jamaa kwasababu et n mnene(chibonge) ,watu tunakosea sana kum-underestimate mtu,hata baada ya pambano jina lililokwa linatambaa online ni chibonge na sio AR again.
 
Nimegundua watu wanamapenzi na MTU sio mchezo wenyewe,sasa watashangaa chibonge anamkalisha a.j mara ya pili kwenye marudiano,manaake chibonge ni msiri sana,anapiga mazoezi ya kufa MTU,
 
Wakuu nimefwatilia sana mitazamo ya wapenda masumbwi,karibu asilimia tisini walishangaa kupigwa kwa Antony Joshua,kama kawaida yangu huwa sipendi kufwata mkumbo,ilinibidi nijiridhishe nione ubovu wa Ruiz, kumbe Ruiz amepigana mara 34 na kushindwa Mara moja,tena alipigana na Joseph parker,nayo alishinda ila alifanyiwa figisu wakampa ushindi parker, sasa a.j kapigana mara ishirin na mbili cjui,utagundua huyu Ruiz ana experience kuliko Anton Joshua,sasa watu hawafwatilii kazi kusema a.j kauza pambano,don't judge a book by looking its cover,go chibonge.
Hata hiyo re match atadundwa tena .
 
Ruiz ana pumzi sana, mvumilivu wa makonde kuna round ile aliyoangushwa ilikua Joshua amalize pambano ila jamaa alivumilia mpaka akarudi sawa, mwepesi kurusha ngumi za haraka haraka, ukimpiga moja hapo hapo anajibu tano
 
Hao wanaosema Antony Joshua aliuza mechi wengi wao hawajui masumbwi au mahaba yanawapelekesha.kuna mdau alianzisha Uzi wenye pumba hizi na alikua akipondea kila mtu aliyekua anaonyesha udhaifu wa Antony Joshua.wengi tulimpuuza maana hatukutaka ubishani Ila kiukweli Antony Joshua ni bondia aliyekua ana kuzwa sana,hana mbavu za kupigana na Tyson fury wala wilder.huyu Ruiz atawashangaza wengi wanaoshabikia masumbwi kwa mihemko,ni bondia aliyekamilika kwa kila kitu ingawa media hazimpi kiki inayostahili kisa ni bonge ata Huyo wilder anaweza kukalishwa
Ofcoz Ruiz ni bondia mzur sana mwenye mbinu za kisasa, baada ya kumpiga Joshua nilienda Youtube kutazama mapambano yake ya nyuma, ila kwa Bronzebomber hii machine nyingne mkuu, Wilder ana ngumi ya kulia yenye nguvu sana
 
Wilder akalishwi kizembe wewe
 
Ofcoz Ruiz ni bondia mzur sana mwenye mbinu za kisasa, baada ya kumpiga Joshua nilienda Youtube kutazama mapambano yake ya nyuma, ila kwa Bronzebomber hii machine nyingne mkuu, Wilder ana ngumi ya kulia yenye nguvu sana
Wilder anakutana na Ortiz ambaye ninajua atamkalisha
 
Ruiz ana pumzi sana, mvumilivu wa makonde kuna round ile aliyoangushwa ilikua Joshua amalize pambano ila jamaa alivumilia mpaka akarudi sawa, mwepesi kurusha ngumi za haraka haraka, ukimpiga moja hapo hapo anajibu tano
Hahah nahisi mpk kuna muda AJ alikua anaogopa kurusha makonde,maana jamaa alikua anayarusha makonde mengi mengi kwa mpigo hahah.
 
Ruiz bonge la mpqmbanaji no mwanamasumbwi aliye kamilika kutoka Mexico.bora umuue uwanjani ila sio kumpiga.huyo ndio Ruiz chibonge ngumi jiwe mrusha makonde mia 600 kwa dajika
 
Ruiz ana pumzi sana, mvumilivu wa makonde kuna round ile aliyoangushwa ilikua Joshua amalize pambano ila jamaa alivumilia mpaka akarudi sawa, mwepesi kurusha ngumi za haraka haraka, ukimpiga moja hapo hapo anajibu tano
Mvumilivu wa makonde huna huruma
 
Ruiz habari nyingine huyu jamaa atawakalisha kina wilder,fury,aj tena ndio tutaelewana.huyu ndio Andy Ruiz junia.mrusha ngumi mia sita kwa dakika na bingwa wa masumbwi duniani uzito wa juu
 
Hao wanaosema Antony Joshua aliuza mechi wengi wao hawajui masumbwi au mahaba yanawapelekesha.kuna mdau alianzisha Uzi wenye pumba hizi na alikua akipondea kila mtu aliyekua anaonyesha udhaifu wa Antony Joshua.wengi tulimpuuza maana hatukutaka ubishani Ila kiukweli Antony Joshua ni bondia aliyekua ana kuzwa sana,hana mbavu za kupigana na Tyson fury wala wilder.huyu Ruiz atawashangaza wengi wanaoshabikia masumbwi kwa mihemko,ni bondia aliyekamilika kwa kila kitu ingawa media hazimpi kiki inayostahili kisa ni bonge ata Huyo wilder anaweza kukalishwa
Wilder atakalishwa mapema sana na Amigo (Andy Ruiz).
 
Back
Top Bottom