dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 616
Nimegundua watu wanamapenzi na MTU sio mchezo wenyewe,sasa watashangaa chibonge anamkalisha a.j mara ya pili kwenye marudiano,manaake chibonge ni msiri sana,anapiga mazoezi ya kufa MTU,Mkuu walimpuuza jamaa kwasababu et n mnene(chibonge) ,watu tunakosea sana kum-underestimate mtu,hata baada ya pambano jina lililokwa linatambaa online ni chibonge na sio AR again.
Hata hiyo re match atadundwa tena .Wakuu nimefwatilia sana mitazamo ya wapenda masumbwi,karibu asilimia tisini walishangaa kupigwa kwa Antony Joshua,kama kawaida yangu huwa sipendi kufwata mkumbo,ilinibidi nijiridhishe nione ubovu wa Ruiz, kumbe Ruiz amepigana mara 34 na kushindwa Mara moja,tena alipigana na Joseph parker,nayo alishinda ila alifanyiwa figisu wakampa ushindi parker, sasa a.j kapigana mara ishirin na mbili cjui,utagundua huyu Ruiz ana experience kuliko Anton Joshua,sasa watu hawafwatilii kazi kusema a.j kauza pambano,don't judge a book by looking its cover,go chibonge.
Ruiz ana pumzi sana, mvumilivu wa makonde kuna round ile aliyoangushwa ilikua Joshua amalize pambano ila jamaa alivumilia mpaka akarudi sawa, mwepesi kurusha ngumi za haraka haraka, ukimpiga moja hapo hapo anajibu tanoWakuu nimefwatilia sana mitazamo ya wapenda masumbwi,karibu asilimia tisini walishangaa kupigwa kwa Antony Joshua,kama kawaida yangu huwa sipendi kufwata mkumbo,ilinibidi nijiridhishe nione ubovu wa Ruiz, kumbe Ruiz amepigana mara 34 na kushindwa Mara moja,tena alipigana na Joseph parker,nayo alishinda ila alifanyiwa figisu wakampa ushindi parker, sasa a.j kapigana mara ishirin na mbili cjui,utagundua huyu Ruiz ana experience kuliko Anton Joshua,sasa watu hawafwatilii kazi kusema a.j kauza pambano,don't judge a book by looking its cover,go chibonge.
Ofcoz Ruiz ni bondia mzur sana mwenye mbinu za kisasa, baada ya kumpiga Joshua nilienda Youtube kutazama mapambano yake ya nyuma, ila kwa Bronzebomber hii machine nyingne mkuu, Wilder ana ngumi ya kulia yenye nguvu sanaHao wanaosema Antony Joshua aliuza mechi wengi wao hawajui masumbwi au mahaba yanawapelekesha.kuna mdau alianzisha Uzi wenye pumba hizi na alikua akipondea kila mtu aliyekua anaonyesha udhaifu wa Antony Joshua.wengi tulimpuuza maana hatukutaka ubishani Ila kiukweli Antony Joshua ni bondia aliyekua ana kuzwa sana,hana mbavu za kupigana na Tyson fury wala wilder.huyu Ruiz atawashangaza wengi wanaoshabikia masumbwi kwa mihemko,ni bondia aliyekamilika kwa kila kitu ingawa media hazimpi kiki inayostahili kisa ni bonge ata Huyo wilder anaweza kukalishwa
Wilder akalishwi kizembe weweHao wanaosema Antony Joshua aliuza mechi wengi wao hawajui masumbwi au mahaba yanawapelekesha.kuna mdau alianzisha Uzi wenye pumba hizi na alikua akipondea kila mtu aliyekua anaonyesha udhaifu wa Antony Joshua.wengi tulimpuuza maana hatukutaka ubishani Ila kiukweli Antony Joshua ni bondia aliyekua ana kuzwa sana,hana mbavu za kupigana na Tyson fury wala wilder.huyu Ruiz atawashangaza wengi wanaoshabikia masumbwi kwa mihemko,ni bondia aliyekamilika kwa kila kitu ingawa media hazimpi kiki inayostahili kisa ni bonge ata Huyo wilder anaweza kukalishwa
Wilder machine nyingne, ile ngumi yake ya kulia kama chumaWilder akalishwi kizembe wewe
Naona bado mnamdharau ruizWilder akalishwi kizembe wewe
Kama mtoa mada alivyosema kuwa Ruiz anadharaulika.Ruiz ni habari nyingine fatilia mapambano yake.huyu Mexico ni Mara mia afie ulingoni sio umpigeWilder machine nyingne, ile ngumi yake ya kulia kama chuma
Wilder anakutana na Ortiz ambaye ninajua atamkalishaOfcoz Ruiz ni bondia mzur sana mwenye mbinu za kisasa, baada ya kumpiga Joshua nilienda Youtube kutazama mapambano yake ya nyuma, ila kwa Bronzebomber hii machine nyingne mkuu, Wilder ana ngumi ya kulia yenye nguvu sana
Hahah nahisi mpk kuna muda AJ alikua anaogopa kurusha makonde,maana jamaa alikua anayarusha makonde mengi mengi kwa mpigo hahah.Ruiz ana pumzi sana, mvumilivu wa makonde kuna round ile aliyoangushwa ilikua Joshua amalize pambano ila jamaa alivumilia mpaka akarudi sawa, mwepesi kurusha ngumi za haraka haraka, ukimpiga moja hapo hapo anajibu tano
Jamaa anajiita Andy destroyer13.. Jamaa afaiNaona bado mnamdharau ruiz
Mvumilivu wa makonde huna hurumaRuiz ana pumzi sana, mvumilivu wa makonde kuna round ile aliyoangushwa ilikua Joshua amalize pambano ila jamaa alivumilia mpaka akarudi sawa, mwepesi kurusha ngumi za haraka haraka, ukimpiga moja hapo hapo anajibu tano
Wilder atakalishwa mapema sana na Amigo (Andy Ruiz).Hao wanaosema Antony Joshua aliuza mechi wengi wao hawajui masumbwi au mahaba yanawapelekesha.kuna mdau alianzisha Uzi wenye pumba hizi na alikua akipondea kila mtu aliyekua anaonyesha udhaifu wa Antony Joshua.wengi tulimpuuza maana hatukutaka ubishani Ila kiukweli Antony Joshua ni bondia aliyekua ana kuzwa sana,hana mbavu za kupigana na Tyson fury wala wilder.huyu Ruiz atawashangaza wengi wanaoshabikia masumbwi kwa mihemko,ni bondia aliyekamilika kwa kila kitu ingawa media hazimpi kiki inayostahili kisa ni bonge ata Huyo wilder anaweza kukalishwa