Sijui,labda wewe. . . . . .

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Nimezaliwa,nikafikisha umri wa kwenda shule,nikaenda.Nimesoma mpaka hukoooo nimemaliza,nimekuja sijui nimejiajiri au nimeajiriwa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nimeoa na nimepata watoto nao nimewasomesha kisha nao wamejitegemea,nimezeeka,kisha huyooo nauona mwili unashindwa baadhi ya mambo.Kisha narudishwa mavumbini,nimekufa.Safari ya maisha imeishia hapo,nimeondoka duniani. . . . . . . . . . . . . . . , . . . . . . . Hivi hayo ndo yalisababisha nizaliwe au kuna kingine?Yani hivyo tu?Sidhani,sijui ni kwanini lakini nahisi kuna kitu kimepungua.Yaani nayaona hayo kama mambo madogo sana kusababisha mtu kuzaliwa.My be nimejipotosha,wewe je unaridhika?
 
dah! naogopa kukutana na jehanamu la moto...,..ngoja nikatubu faster...:flame:
 
tumeletwa duniani tule raha au tuteseke hata sielewi! halafu ukizembea unaweza ukaunguzwa huku jehanam
 

tumeletwa duniani tule raha au tuteseke hata sielewi! halafu ikizembea unaweza ukaunguzwa huku jehanam

wadogo zangu wapenzi Eiyer na Excellent sis gf loves you so much.

Anyway sisi tumezaliwa kwa kusudi moja tu. nalo ni kuuthibitisha ukuu na uungu wa Mungu. Mungu aliposema na tufanye mtu kwa mfano wetu basi alikusudia awe mfano wake na ndio maana akamwambia akatawale vyote abavyo Mungu alivifanya. Kwangu mimi hili nndilo ksudi la Mungu kwetu ishu ni kwamba sisi ndio tunao haribu ule wema na uzuri wa Mungu kwetu katka maisha yetu ya kila siku.

nafkir mtakubaliana na mimi pasipo dhambi basi mauti isingekuwepo ila imeandikwa mshahara wa dhambi ni mauti so na mauti huanzia mbali kwenye upotevu wa mali na furaha hadi kwenye upotevu wa mwili. ngoja nitarudi baadae nawahudumia m uncles kwanza.
 
Last edited by a moderator:
tatizo tumeletwa halafu tutakufa,dah
 
tatizo tumeletwa halafu tutakufa,dah

haukua mpango wa Mungu tufe ila dhambi ndio iliyotusababishia. ila hapo najua utaniuliza tena sasa kama Mungu alijua hivyo kwanini alimruhusu shetani amdanganye eve? au pia utasema mbona Mungu hana huruma? manake kosa moja tu adhabu yake hadi leo?


  • :flypig:
 
umeshasoma ninachowaza lol! ila no way labda ile second chance ya uzima wa milele tutapata
 
Tumekuja duniani ili kumtukuza Mungu, tumepoteza purpose mzima ndo maana hata mambo yenyewe sio, ghhrrr. Ila Adam itakuwa alikuwa mwana ccm
 
Wewe ni thinker mkubwa. Suala lako linatufanya tufikiri ni nini maana ya maisha? Maisha mazuri ni yapi? Baada ya maisha kuna nini? -utagundua kuwa maisha yetu wote, yamejaa worries, kama swali lako lilivyojaa hofu na linavyotia hofu. Tunaishi maisha yetu yote tukiitafuta furaha-yet hatujui furaha ni ipi, tunaipataje furaha, na furaha kuu ni ipi. Kuna jamaa yangu mganda alifapata ugonjwa wa pua, akafanyiwa upasuaji, lkn upasuaji, kwa maelezo yake, ulifanywa na ill-trained surgeon. Akapata complications, na hata ubongo ukaacha kufanya kazi. Inasemekana alikaa takriban wiki mbili akiwa hajitambui. Kwa mtizamo wake, anadhani ile hali ya kutokujitambua aliyokuwemo, yaani, kufa nusu, ndiyo hali ya amani kuliko zote alizowahi kuwemo- maana alikuwa hajijui. Kwa hivyo anaamini 'kifo' ndiyo furaha na uhuru unaoshinda vyote.
 
umeshasoma ninachowaza lol! ila no way labda ile second chance ya uzima wa milele tutapata

God is always good aisee, alishasema kwamba tutakapo vaa mwili ule wa kutokuharibika na takapo zikwa mwili ule wa asili na kufufuliwa mwili ule wa uzima na ndipo tutakaposema mauti imemezwa kwa kushindwa.ndipo ku wapi ewe mauti uchungu wako? na ahimidiwe Bwana Mungu wetu atupaye kushinda kwa Mwanaye Yesu kRISTO.
 
gfsonwin unanichanganya.Tumeumbwa ili tuuthibitishe uungu wa Mungu?So Mungu anahitaji tufanye hilo?Haya tunayofanya tunapoteza muda bure?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin unanichanganya.Tumeumbwa ili tuuthibitishe uungu wa Mungu?So Mungu anahitaji tufanye hilo?Haya tunayofanya tunapoteza muda bure??!???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…