gfsonwin nimekuambia hakuna Mungu anachohitaji kwa mwanadamu.Akihitati anakua sio Mungu,uhitaji sio sifa ya Mungu ni sifa ya binadamu,acha kumfananisha na kumpa Mungu sifa za kibinadamu.Kumwabudu Mungu ni hitaji la mwanadamu sio Mungu.Kumwabudu Mungu ni hitaji la mwanadamu sio Mungu,Mungu hahitaji chochote kutoka kwa mwadamu!
hivi labda niulize ili neno Mugu anataka ama anhtaji haimaanish kwamba amekosa hicho alicho nacho. mfano mbona Mungu anasema leteni zaka kamili........... neno leteni llinaonyesha nini? je tumpelekee wakati hana uhitaji? na vyote hivi si vyake?
gfsonwin nimekuambia hakuna Mungu anachohitaji kwa mwanadamu.Akihitati anakua sio Mungu,uhitaji sio sifa ya Mungu ni sifa ya binadamu,acha kumfananisha na kumpa Mungu sifa za kibinadamu.Kumwabudu Mungu ni hitaji la mwanadamu sio Mungu.Kumwabudu Mungu ni hitaji la mwanadamu sio Mungu,Mungu hahitaji chochote kutoka kwa mwadamu!
Zaka ni kwaajili ya wale wanaoifanya kazi yake,anaposema leteni ni kwaajili ya hao.Mpango wa zaka ni kwaajili hiyo na kuendeleza kazi yake!
kwani Mngu kama alijua kwamba ni ya wale watu wa kanisa kwanini aliiweka kuwa ni lazima? kwani yeye inamuaongezea nini ama kumpunguzia? Kikubwa ambacho yeye MuNGU ANAFURAHIA NI ZILE SIFA NA SHUKURANI ANAZORUDISHIWA WEWE UNAPOTOA NA AMEYANENA HAYA WAZI KATIKA KITABU CHA WAKORINTO.
AD,hiyo sababu yako ni nyepesi sana.Majibu rahisi kwa maswali magumu!
cate hivi wafikiri kuaza haya ni vibaya na si kukupa wewe changamoto ya kwanini ukawepo duniani? nafkiri ni swali ambalo kila mmoj wetu anapaswa kulifikira kwa umakini sana na isiwe eti ni kwasababu utakufa nbali iwe ni kwasababu unataka kupafanya dunian mahali pazuri pa kuish wewe na vizazi vijavyo
tatizo gfsonwin mambo haya huwa hayana jibu moja. Kila mtu huwa na mtazamo wake. Hata eiyer atakuwa na jibu lake kichwani na ndio maana nikasema bora tu utende wema duniani, tukitaka kujua kilichokuleta hapa sidhani kama tutaweza.
Maswali magumu yanahitaji majibu makini!Sio majibu mepesi kwenye maswali magumu!