Ivi nikwanini nikiwa natongoza mwanamke huwa najihakikishia nitampata na ikitokea kanipiga chini nanuna? Sasa hicho kinacho nifanya kununa ndio huwa sielewi kwanini iwe hivyo na huku ni kawaida tu kukataliwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.