sijui ndio napendwa!!!

boniuso

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
786
Reaction score
1,043
jaman kuna msichana niliachana naye pindi niko form four, tukawa hatuna mawasiliano kabsa, lakin sasa nina mawasiliano naye, lakin tukiwa tuna chat au tunaongea, huwa ana nilaum kwamba mim ndo niliarib mapenzi yetu au huwa ananiuliza kama nampenzi mwingine. huwa nashindwa elewa kwanin anakuwa na hisia nami na wivu akati tusha achana?
 
huenda anataka mrudiane.!!muulize je yeye ana mpenzi?? akijijb sasa uamuz ni wako
 
huenda anataka mrudiane.!!muulize je yeye ana mpenzi?? akijijb sasa uamuz ni wako

nilimuuliza unanipenda, akajibu atanichukia vipi. sema moyo wangu iman naye sina
 
kuna kumpenda mtu.kama alikua mpenz.wako wa zaman.ukawa unamiss vile.vitu :lakin.jiulize.ulimkosea nn mpk mkaachana.then utapata jibu
 

khaaaaaaaaaaaaaaaa..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Karibu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…