Pre GE2025 Sijui ni Kilimanjaro ipi Mbowe anadhani atapata Wabunge, nimepita Hai, Moshi, Mwanga na Same kote CCM ni Imara na Inapendwa mno!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Day after day watanzania wanavozidi kula chips ndo wanavozid kuwa Matahira
 
Kwa taarifa yako kwa hai mbunge wa ccm kushinda itakuwa ngumu sana juzi kati ccm walikuwa na mkutano ni aibu na jana mbowe walikuwa na mkutano uwanja wa halflondon wananchi wakumsikiliza walikuwa wengi na wengi walikaa mbali tofauti kubwa na uliotangulia wa ccm kule mlimani chadema ina watu robo tatu ccm wana robo tu labda lifanyike lile jambo la 2020
 
Mzee Mbowe atakuwa rais?juzi nimecheka sana eti binamu yake mzee Mbowe anasema wanachi walinde kura ,hivi wale watoto wake wanaotunzwa watakuwa kwenye ulindaji kura?
Rudia swali
 
2015 na mbaya zaidi 2020 CCM ya Jiwe ilinajisi uchaguzi waziwazi. Taifa halijakuwa na uchaguzi toka Kikwete alivyostaafu.

Mh. Mbowe yupo sahihi uchaguzi huru ma haki CCM haipati hata jimbo moja Kilimanjaro
Kilimanjaro hawaitaki CCM kama walivyomkataa shetani na kazi zake
 
Bila shaka Umeingia kwenye mioyo ya watu hongera bwashee

Unamaanisha Kilimanjaro Kuna wapumbavu wengi wanaikubali ccm??
 
Kwa hiyo,umeanza ramli tayari.
Ifike mwone hata aibu.
Chadema sio kwamba anapambana ccm miaka yote,Bali Ccm ni maiti inayotembezwa na vyombo vya DOLA.

Kiufupi,Chadema hamuiwezi,ipo mioyoni mwa watu.

Shukurun sana,wananchi wengi Bado ni mazombi yaliyochangamka ukijumlisha na Askari polisi wajinga wajinga.
 
Labda Mbowe anadikiri Hai ndiyo Kilimanjaro. Hai na Vunjo hata mimi najua ndiyo ngome za CDM, lakini majimbo mengine watahenya tu
 
Sahihi kabisa
 
Mzee Mbowe atakuwa rais?juzi nimecheka sana eti binamu yake mzee Mbowe anasema wanachi walinde kura ,hivi wale watoto wake wanaotunzwa watakuwa kwenye ulindaji kura?
Anasema hivyo kwa hofu ya kuibiwa kura! Kama atashindwa wakati Tume ni huru na Wananchi wameamua wenyewe kwenye sanduku la kura hata asiposhinda urais! Ili mradi haki itakuwa imetendeka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…