Sijui ni kwanini GENTAMYCINE huwa sina bahati ya Kupenda Vibovu Vibovu, bali nimebarikiwa tu Kupenda Vizuri kama Vifuatavyo....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Rais bora Kwangu

Paul Kagame ( Rwanda )

2. Mtandao bora Kwangu

JamiiForums

3. Timu za Mpira bora Kwangu

Simba SC ( Tanzania ), Liverpool FC ( UK ), FC Barcelona ( Spain ), PSG ( France ) na Bayern Munich ( Germany )

4. Vyuo Vikuu bora Kwangu

Saint Augustine University of Tanzania Mwanza ( Tanzania ) na University of Cape Town ( South Africa )

5. Chama cha Kisiasa bora Kwangu

Chama Cha Mapinduzi ( Tanzania )

6. Wanawake bora Kwangu ni wa kutoka

Tanga, Iringa na Rukwa

7. Bendi ya Muziki wa Dansi bora Kwangu na Msanii wake ni

Wenge Musica BCBG chini yake Kiongozi Jean Bedele Tshituka Mpiana a.k.a Lonkia Milo Dan Koko Papa Cheri De la Patria

Ninamshukuru mno na sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa Jicho na Moyo wa Kupenda vile vizuri vizuri tu ambavyo hata Yeye kavibariki vyema tu.
 
Congratulation kwa kuipenda CCM?![emoji15]Ndiyo maana huwa nakusaksia kwa shem ili akubonde!Na usipofuta kauli naenda kule makapuku forum kuunguza kibanda kama kawaida!
Hahahahahahahahahaha anko unanioneagaa lakini mm nampngeza alafu hiyo aliandika kwa kirefu ndo maana sikuonaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kule paache hali ya hewa unaiona hzi siku
 
Mimi
Mziki: tamaduni Muzik
Chakula:ugali+matembere+mtindi+tikitimaji
Sport:tennis
Wanasiasa:JPM,ndugu Bashir katibu,makonda
FootballπŸ˜›sg,man United na Azam fc na yanga kidogo
Mtandao jamiiforum km kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…