GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
taarifa au swali?Najitahidi sana kuwatofautisha lakini kila mara najikuta nawachanganya sana na kuna wakati huwa nahisi labda nachati na huyu kumbe nachati na yule. Halafu ni Members ambao wana share vitu vingi sana in common hali ambayo ndiyo huwa inazidi tu kunichanganya. Halafu nimetokea kuwachangamkia na hata wao wamenichangamkia sana.
Members wenyewe ni Nifah na MBITIYAZA.
Yaani ninawapenda na nawakubali mno ila sijui ni kwanini siku hizi Nifah kapotea kabisa humu JF ila nafurahi tu kwamba MBITIYAZA ameweza kufuta pengo lake na sasa naanza taratibu kumsahau Nifah.
Hii ndiyo JamiiForums bhana!!!!!!!
Ahsante...upo wapi..??hahaha sishangai leo ni ijumaa !njoo unywe smirnof 1 hapa ...
Ahsante...upo wapi..??
Baridi Peke yako..???ahahha nipo mbeya mkuu !nakata barid!teh