kama kweli hiviKwani we unamtazamo gani juu ya hilo?
Sawa fanya mpango sasakama kweli hivi
kivipiBangi huko kwenu imeshuka bei?
duuKwahiyo siku ukiambiwa na mtu kwamba.... Ukitaka kunya, usivue kaputula..... Napo utakuja kutuomba ushauri....[emoji53] [emoji53] [emoji55] [emoji55]
ndio ferariFerari ndo nini ? Tuanzie hapo
HahaaKwahiyo siku ukiambiwa na mtu kwamba.... Ukitaka kunya, usivue kaputula..... Napo utakuja kutuomba ushauri....[emoji53] [emoji53] [emoji55] [emoji55]
kwa hiyo nyie wanawake huwa mnavaa chupi na kuvuta bangi kabla ya kuingia kwenye ferariWrite your reply...ni kweli kabisa mkuu na inabidi uvae chupi ya chuma maana siti zake zinaumiza makangaraga pia vaa braa ya mbao kwakua wewe n mwanamke ila si vidume ukiingia kitumbo wazi haina shida........Hata sisi tunajua kutumia bangi sio wewe tu
kwa hiyo nyie wanawake huwa mnavaa chupi na kuvuta bangi kabla ya kuingia kwenye ferari
nimekuelewa mama yangu lakini mbona baba aliniambia et ulikuwa unavaa mfuko badala ya chupi kabla ya kuingia kwenye ferrariHapana sis wanaume tunavaa bukta na kuvuta bangi kabla ya kuingia kwenye Ferrari nadhan utakuwa umenielewa Dada yangu
ndio ni kweliHivi ni kweli
ni stendiFerari ni nini sisi wa hukuikoani wengine hatujui ndo nini hicho