Sijui ni lini Tanzania yangu nayo itaingia katika hili Kundi la nchi makini na zenye mvuto wa Kibiashara Ulimwenguni

Sijui ni lini Tanzania yangu nayo itaingia katika hili Kundi la nchi makini na zenye mvuto wa Kibiashara Ulimwenguni

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Zijue nchi ambazo kwa sasa ndizo zinaongoza kwa kuwa na mazingira mazuri ya Kufanya Biashara duniani

1. New Zealand
2. Singapore
3. Denmark
4. Hong Kong
5. Korea
6. Georgia
7. Norway
8. US
9. UK
10. Macedonia

Source: bloombergbusiness

Nawasilisha.
 
Zijue nchi ambazo kwa sasa ndizo zinaongoza kwa kuwa na mazingira mazuri ya Kufanya Biashara duniani

1. New Zealand
2. Singapore
3. Denmark
4. Hong Kong
Sio kwa bahati mbaya hizo nchi ziko hivyo zilivyo ni mipango na mikakati....nasisi "one day we can" tu kipata raisi ambaye ni bussiness oriented with good economic background anae heshimu na kulinda private bussiness na wajasiliamari, tutafika tu.
 
Tatizo kubwa la hapa kwetu ni kuwa na jamii isiyojitambia bila kujali imepita shule au la!

Tukio la Jana la rais wa nchi kusema kuwa hakuna katiba mpya na wale wajiitao wasomi wakashangilia sana ni msiba mkubwa kwa nchi inayohitaji wasomi wawe ndio chachu ya mapinduzi ya fikra
 
Tutafika tu, hata hivyo punguza presha hata mataifa makubwa duniani hayapo kwenye hiyo list
 
Zijue nchi ambazo kwa sasa ndizo zinaongoza kwa kuwa na mazingira mazuri ya Kufanya Biashara duniani

1. New Zealand
2. Singapore
3. Denmark
4. Hong Kong
5. Korea
6. Georgia
7. Norway
8. US
9. UK
10. Macedonia

Source: bloombergbusiness

Nawasilisha.
Inabidi tujue wao wanafanyaje na sisi tunakosea wapi ili tujifunze kupitia wao
 
Mkuu, huko umeenda mbali. Ungeangalia hz za Afrika maana taarifa zake zipo:
1. Mauritius
2. Rwanda
3. Morocco
4. Kenya
5. Botswana
6. S/Africa
7. Zambia
8. Tunisia
9. Sychelles
10. Lesotho
Mauritius, ya 1 africa inashika #25 duniani.. Kenya ambayo ni #4 africa ni namba 80 kwa dunia, nk.
Hapo Tz huwezi kuiona.

10 Best African Countries for Doing Business - Africa.com

Ila kny list ya 2018 ya nchi zenye wananchi wasio na furaha (wenye stress kubwa), Tz inashika #3 duniani
 
Huko ni kuzuri kwa ajili ya makampuni ya tecknolojia sio kwa viwanda na gesi
 
Mkuu, huko umeenda mbali. Ungeangalia hz za Afrika maana taarifa zake zipo:
1. Mauritius
2. Rwanda
3. Morocco
4. Kenya
5. Botswana
6. S/Africa
7. Zambia
8. Tunisia
9. Sychelles
10. Lesotho
Mauritius, ya 1 africa inashika #25 duniani.. Kenya ambayo ni #4 africa ni namba 80 kwa dunia, nk.
Hapo Tz huwezi kuiona.
Sababu kubwa ya kuwa na mazingira bora ya biashara ni kuvutia uwekezaji. Katika nchi hizo ulizotaja, ngapi zinaipita Tanzania katika kuleta mitaji kutoka nje?
Kizuri chajiuza ....
 
Tanzania Waziri tu au Meya anapanga kodi bila hata kupitisha bungeni. Mfano. Dagaa na samaki kutozwa kodi kuuzwa nje, bila kuzingatia uhalisia wakati dhahabu haitozwi kodi kwa kuuzwa nje. Alafu kodi zenyewe kila siku wanapandisha bila utaratibu. Nia aibu Tanzania kula samaki Vibua toka China wakati tunao hapa.
 
Economics is major everyone should major in economics!
 
Back
Top Bottom