GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sio kwa bahati mbaya hizo nchi ziko hivyo zilivyo ni mipango na mikakati....nasisi "one day we can" tu kipata raisi ambaye ni bussiness oriented with good economic background anae heshimu na kulinda private bussiness na wajasiliamari, tutafika tu.Zijue nchi ambazo kwa sasa ndizo zinaongoza kwa kuwa na mazingira mazuri ya Kufanya Biashara duniani
1. New Zealand
2. Singapore
3. Denmark
4. Hong Kong
Tutafika tu, hata hivyo punguza presha hata mataifa makubwa duniani hayapo kwenye hiyo list
FranceIpitie vizuri hiyo ' list ' tafadhali.
Inabidi tujue wao wanafanyaje na sisi tunakosea wapi ili tujifunze kupitia waoZijue nchi ambazo kwa sasa ndizo zinaongoza kwa kuwa na mazingira mazuri ya Kufanya Biashara duniani
1. New Zealand
2. Singapore
3. Denmark
4. Hong Kong
5. Korea
6. Georgia
7. Norway
8. US
9. UK
10. Macedonia
Source: bloombergbusiness
Nawasilisha.
Sababu kubwa ya kuwa na mazingira bora ya biashara ni kuvutia uwekezaji. Katika nchi hizo ulizotaja, ngapi zinaipita Tanzania katika kuleta mitaji kutoka nje?Mkuu, huko umeenda mbali. Ungeangalia hz za Afrika maana taarifa zake zipo:
1. Mauritius
2. Rwanda
3. Morocco
4. Kenya
5. Botswana
6. S/Africa
7. Zambia
8. Tunisia
9. Sychelles
10. Lesotho
Mauritius, ya 1 africa inashika #25 duniani.. Kenya ambayo ni #4 africa ni namba 80 kwa dunia, nk.
Hapo Tz huwezi kuiona.