NINAHASIRA
Member
- Nov 5, 2010
- 58
- 9
Jamani nani ni mtz lakini najiuliza kuna ulazima wa kwenda kushuhudia mafisadi wanavyoapishana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa rais wetu tumekubali kwa kuwa hatuna ujanja, pamoja na kuwa amechakachua kura, ila kushiriki kuapishwa nikukubali matokeo ya kura zake. Ni rais wa kila mtanzania pamoja na Dr. SLAA.[/QUOTE]
Ni kweli na kuanzia sasa Slaa anatakiwa awe na adabu anapotaja jina la Rais wake. Aongee kwa unyenyekevu akijua anataja jina la rais wake DR JAKAYA MRISHO KIKWETE.