St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
- Thread starter
-
- #21
huna haja ya kuhuzunika maana naweza nikaacha kule nikaja kwako...yaani haya mambo na ma-expereince niliyoyapata huko nikakupa wewe...it is just kuniPM tu.. wala haitakuumiza kichwa...I can change my mind just to help you...
hahahahahah lol..
mmmmhhh we mi nakuogopa..
mi staili za wa mama sitaki wala..
mi nataka zakwangu lol
na mi binafsi napenda kula loli pop yangu mwenyewe sitaki kuchangia kabisa..maana haiishagi sukari hiyo..
mmmmmhhh we uwende kula limama mie uniletee mabaki sitaki ...
utanisamehe bure mie...
mie naona hujapata msicha ambao yuko umri sana na weye akakupa yale ya uvunguni mpaka ukasahau jimama..
wako wengi sana.. tembea uone lakini hakikika unakula pipi na mfuko wakee..
samahni ka nimekukwaza..
AD..
Basi ulipodondokea napapata....................... Maana kwa wanaume ni eidha alcohol, fegi.............na.............na............... Sasa kama haupo kwenye alcohol umebakisha Fegi............na...............na............ KWA KIHAYA SIJUI WANAIITAJE HII KITU
hata wala hujanikwaza..ila umenifurahisha tu..nakwambia kama ukiwa na mimi kule naacha kabis...yaani unakuwa umenifanyia total transformation...kitakachofuata ni nkula bata tuuuuuu............usijikoseshe hii bahati...pls
ahhhh bwana inaonekana we wapenda kula keki bila kuikata..
mie sitaki hayo..
mmmmhhhh ka we umeshazoea jimamamie ngoje nicheze mbele
ahhh sijakwambia uache huko bali nimekwambia utafute binti anayejua hayo mambo...
mmmhh kwa kweli umenichekesha ..
picha ninayopata kichwani ni hatari mmmhhh
mama mtu mzima anakilo ka 120 na kakuzidi umri kwa miaka 20..
mmmhh mbona hii hatari hii sasa we si uazama tu huko ndani nakupotelea kabisa..
kunaraha gani na mnafanya style moja tu .. kwa sababu hatakujigeuza hajiwezi..
kwa kweli na hapo usikute anakijana umri sawa nawe....
kwa keli poleni sana
AD
uzito wake ni kama 85, siyo mzito kivile halafu wepesi wake haumithiliki...huwa yuko flexible mno..and she is multistyled...wala we usihofu kwamba ntakuwa mtu wa namna gani...am a gentleman...if u agree, i can show u another world which is very enjoyable.
mimi hata nikikuzidi mwaka mmoja......nakutimulia kulee
Situmii kilevi cha aina yeyote mkuu.
Una bahati sana ndugu, kwa hiyo wewe starehe yako ni ipi?
hakyanani preta kama ulikuwa kichwani kwangu unanisaidia kuwaza hata mimi nikigundua nimekuzid hata mwaka nakutimua yaani nina aleji kabisa na niliowazidi umri
Sababu inakuwaga ni nini jameni?[/QUOTE
Mwanamke anataka adekezwe na kubembelezwa, na siku zote mwanamke ni mkubwa. Sasa nikiwa na kiserengeti si itakua kituko! Mie hata tukilingana simtaki!
Sababu inakuwaga ni nini jameni?[/QUOTE
Mwanamke anataka adekezwe na kubembelezwa, na siku zote mwanamke ni mkubwa. Sasa nikiwa na kiserengeti si itakua kituko! Mie hata tukilingana simtaki!
Kwa hiyo ina maana hata kama mimi ni kaserengeti boy na najua kudekeza na kubembeleza pia,bado nitakataliwa kwa sababu ya umri wangu mdogo?
Ati wanasema "Mwanamme hakui kwa sababu hazai. Mzazi mama, mwanamme mlezi tu". UFATAKI MBAYA JAMANI, WANAUME TUACHE HIZO.