Sijui nimekosea wapi chapati zinavunjika kama mti mkavu

Ungezipiga mafuta ya taa nakuambia wasingezisogelea
 
chapati ni ukandaji, ukikanda unga ukiwa mgumu lazima zikusumbue kusukuma na pia zisiwe laini sana kias ukisukuma lile donge upate circle nzuri unaenda nayo taratibu inaelekea tu yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…