Sijui nimewaambukiza wangapi ila wengi ni waume za watu

Pole sana kwa Hilo kwa kabla hujafa hujaumbika basi kuanzia sasa acha kufanya hivyo namana unaweza kujiambukiza mpaka mara nne virus halafu dawa zikashindwa kuhimili pia mrudie MUNGU samehe yaliyopita funua kurasa mpya ya maisha yako
 
Kuna story hata kama ni uongo zinavutia ila sio kama hii
 
Wote walikuwa wanapiga nyama kavu kavu?
 
Ukimwi sasa hivi si tishio kama zamani.... wee gawa tu na utaliwa tu
 
Kwahiyo hapo ulipo una umeme usioishiwa LUKU sio?
 
Mrudie Yesu Kristu km bwana na mwokozi wako....utapata tumaini jipya.
 
Umejuaje kama umewaambukiza? Kama michubuko hakuna umebaki nao mwenyewe sio kila aliyekugonga peku umempa hayo matatizo yako.
 
doh........wazee wa nusu mlingoti(CHAPUTA) Tunakoswa na mengi
btw pole sana new member
sheria ni moja duniani kote(no one is interested in ur feelings)
unachoona sawa endelea kufanya tu
kama unaamini mungu, OMBA MWISHO UWE MWEMA.
MUNGU ATULINDE sisi wazee wa CHAPUTA
 
Pole kwa yaliyo kukuta. Pole kwa changamoto. Lakini naomba kuuliza. Je unatumia ARV? Na je ilikuwaje ukagundulika kuwa umeambukizwa HIV? je Dada yako naye ni mwathirika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…