Sijui nimewaambukiza wangapi ila wengi ni waume za watu

 
Kwanza hongera Kwa kuamua kusema. Ushauri mfupi na Mugumu Rudi mbele za Mungu ukaombe rehema (Toba,utakaso) Mungu pekee ndiye anaujua moyo wa mwanadamu na anaweza kukufanya kiumbe kipya Yesu alikufa kwaajili yetu hakuna lisilowezekana kwake yupo anatenda hata Leo, ametusaidia na tumeona nawengine akiwasaidia hivyo hatawewe inawezekana .
 
Wazee wa kucopy na kupaste...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…