kwa busara nakupa mia siku zote asante na roho mtakatifu asimame na watu wake malaika njooni door 2 door hali ngumuuuuu
telitaibi yaani leo nyuzi zako full kunipa raha ila nikushauri tu haya maisha bwana kwa tulioish kila kitu ni batili so Mungu peke yake ndiye jibu na suluhisho la haya uloyaeleza hapa.
ngoja nikwambie maisha ya utu uzima kwa walio wengi yana ainisha maisha ambayo mtu alilelewa kwa walio wengi sasa wale ambao watayaona kama makuzi walaiyopitia ni mabaya na wakaamua kumpa Yesu basi hufaidi kwenye ipengele cha maadili kuliko wale wanaoishi kama kunguru.
Silaha ni Sala, kufunga na kuomba. Kumuachia Roho Mtakatifu a take control ya maisha yetu!