Sijui tunaelekea wapi, Timu za kibongo kusajili wachezaji kutoka nje ya Africa Mashariki na kati

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
Labda humu humu East africa, lakini nje ya hapo ni kujipalia mkaa,,

Hivi kamati za usajili zinafanya kazi gani,,

au ndo mnapga pesa kwa style hiyo
 
Labda humu humu East africa, lakini nje ya hapo ni kujipalia mkaa,,

Hivi kamati za usajili zinafanya kazi gani,,

au ndo mnapga pesa kwa style hiyo
Hebu jazia nyama kidogo ueleweke
 
Wakat samata alisajilliwa huko
Europe mbn wao hawakumind
 
Hapo hapo unataka wachezaji wa Tz wacheze nje ya nchi
 
Sio lazima sote tuvute bangi. Wengine bwieni unga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…