Sijui tunaelekea wapi?

Sijui tunaelekea wapi?

paul miteda

Senior Member
Joined
Jan 19, 2023
Posts
131
Reaction score
588
Hili ni kabisa ila nimependa sana kaswekwa ndani safi sana wamesha ona Tanzania unaweza ropoka chochote na hakuna wakukugusa.Bado yule wa MWANZA safari hii ndiyo ataozea ndichi.

 
Najaribu kufikiria, hao wanaomsikiliza wana mtazamo upi!
 
Unawapa watu nafasi kufungua makanisa ovyo ovyo
Hayo ndiyo matokeo

Ova
 
Back
Top Bottom