Kweli Afrodenzi ya 2010 ipo si unakumbuka niliahidi kukutafutia,lakini bado sijaipata.Ila huko 2015 tena sijui kutakuwaje?
nakumbuka uliniahidi na bado nasubiria ......
birthday imepita sasa na dhani itakuwa zawadi ya x-mass lol
we dont need to worry about 2015 ... sababu hazitakuwepo lol
Waswahili walisema subira yavuta heri,na mambo mazuri hayataki haraka.
nakumbuka uliniahidi na bado nasubiria ......
birthday imepita sasa na dhani itakuwa zawadi ya x-mass lol
we dont need to worry about 2015 ... sababu hazitakuwepo lol
duh! watu watakuwa wanatembea pekupeku!
duh! watu watakuwa wanatembea pekupeku!
Mkuu hapo nisome kawaida au nitafsiri kwa kiswahili?
itafsiri mkuu....pekupeku!
Tafsiri yake ni kujitoa muhanga a.k.a kujilipua a.k.a kwenda bila ndomu.
..I can imagine hiyo ya 2010 mtumiaji aweza kuonekana kama ni wa enzi za stone age!!!Nikimpata mwenye nayo nitakuwekea dia.