sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Katika circle yangu, nina atu wengi, ila wa kumpa cheo cha rafiki kiukweli bado, cheo cha urafiki ni kizito mno,
Niliowahi kusoma nao ni wengi sana, kuna kipindi hadi simu ilikuwa kero sasa, ilibidi ni badili laini, shuleni na chuoni nilikuwa mchangamfu, mcheshi, nk hii ilifanya niwe kama rafiki wa wengi, sasa unakuta simu inapiga yan hapo itabidi nitumie zaidi ya dakika kumjua huyo mtu, ninaoendelea kuwasiliana imebidi niwachuje wawe wale ambao walikuwa wanapenda kunisindkiza, kunisaidia, kuninunulia zawadi (hususani mabinti), n.k
Kazini pia nimeenedelea na uchangamf wanfu, hii naifanya iwe wajibu ili kufanya mazingira yawe mepesi, nikikosa kwenda kazini hata siku 1 basi simu zitaiminika, kuna siku sikwenda yani mpaka dada anliekuwa akileta chai ofisini alinipigia, nlibaki hoi, watu wangu wa karibu kazini ni wawili na wanajilikana na wengine kama mabesti, wanapenda sana kuwa karibu nami kazini, lunch, weekends, n.k lakini kiukweli sijawaweka hilo kundi, kwangu nimewaita watu wa karibu na sio marafiki.
Majirani tunafahamiana vizuri tu, misiba nahudhuria, kwenye sherehe pia sikosi, nikiwa mtaani wengi hujisogeza karibu maana wanapendaga vi jokes viwili vitatu kama ilivyo kawaida yangu, utani na ucheshi ni sehem ya nilivyo. nasikitika wanaponipa hadhi ya rafiki maana kwangu badi ni majirani tu.
Wanawake wengi pia walio wahi kuwa girfriends wangu nao siwezi kuja wahesabia maana kiukweli waikuwa watahisi mno, ilikuwa ni kuongozea darasani, kuwa 5 bora kwenye mavazi nikiwa chuo na vipesa kidgogo viliwazuzua, kiukweli watu kama hawa naendelea kuwa nao ukimaliza utoa tamaa zako za mwili??
Kwa sasa niemeoa, nafanya jitihada sana kupunguza contact na wanawake, japo hali inakua ngumu maana wengi nawapotezea ila wao wanafanya juhudi kuendeleza, yani ukiwa mtu wa kuchangamsha na kuchekesha wengine basi nakushauri uwe kauzu t kwa wanawake, lasivyo watakugeuza kajitu ka kuwaongelesha kila siku