ommytk JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 520 Reaction score 1,143 Dec 8, 2024 #1 Kuna watu wapo wakilalama naakufikia kusema wanajuta kuzaliwa watanzania wanatamani wangezaliwa nchi zingine bila kujua kila mwanadam amepangiwa ridhiki yake hapa Duniani na vyote tunavyoangaika navyo tunakuja kuviacha
Kuna watu wapo wakilalama naakufikia kusema wanajuta kuzaliwa watanzania wanatamani wangezaliwa nchi zingine bila kujua kila mwanadam amepangiwa ridhiki yake hapa Duniani na vyote tunavyoangaika navyo tunakuja kuviacha