mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
Je, labda huwa nakosea?
Nikishasoma SMS nafuta, huwa sikai na SMS kwenye simu.
Sababu ilikuwa ni jinsi navyojikuta nimetumiwa text nyingi na mtu ambaye naweza kuwa namfahaamu na nime msave kwa jina.
Halafu wakati huo huo natumiwa text na huyo kwa namba ambayo sijaisave siku zinaenda kwa kasi kubwa na sms nyingi zinaingia najaribu kujibu sms kwa haraka ghafla si natuma kwa mtu mwingine, mara pap!
Nilimwambia mzee ati!
"Mambo mrembo"
Baadae kuja kucheki nilijuta.
Hii ni kwa sababu huwa naingia direct kujibu sms na vimajina ni vidogo hata kusoma naangalia juu juu tu.
Kutokuwa na sms kunanifanya nitafute jina bila kukosea kisha nitume SMS vizuri.
Huyo ndo mimi. Je wewe wafanyaje?