britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
- Thread starter
-
- #41
Kuna codes kadhaa nimeshapewa alert na watu wangu , lakin Simaanishi wananijua mimi ni nani ila so vema kujiamini kuputuliza
uzi huu una madhara nadhani
Hiyo IJ ndio haswa ita zero in kwenye huo uhamiaji, alizaliwa wapi, wazazi wake biological ni kina nani, aliingia lini nchini, aliomba uraia?. Kama hakuomba uraia, imewezekana vipi hadi...Kato wa machalila Uswahil ambaye ni Muhamiaji mwenye bahati
Alafu akanasibishwa Jina alitanga tanga sana kaanzia Karagwe Kihanga wakahamia eneo fulani Mugakorongo kabla ya UswahiliniHiyo IJ ndio haswa ita zero in kwenye huo uhamiaji, alizaliwa wapi, wazazi wake biological ni kina nani, aliingia lini nchini, aliomba uraia?. Kama hakuomba uraia, imewezekana vipi hadi...
Hii ina maana wewe Mkuu britanicca una info kuliko hata za wale jamaa wa ofisini kwa dingi wangu na maza wangu!.
P
Baki huko huko Wewe mwenyewe ni muuaji, mtesaji na mwizi, umeshiriki kwa maneno na matendo yako, na kwa kuunga mkono yote haya.We have an alert concerning with abduction,
You won't Get me that easily
Mbona wapo wengi tu wa kuwakamata? Why me ,
Nimeshatangaza Kuacha Siasa hivyo niko Busy na Mambo yangu
Pole C.A.G
Pole Magoti
Pole Azory
Mimi ni CCM asilia we don't get scared kwa masanamu tumeyapeleka Karakana wenyewe
Mmeanza kugeukana wapenzi wa mfalme Juha??Usirudi kabisa. We dont need u ass!!
Pole sana. Hutaiona Tanzania hadi 2026? Utaumia sana, huenda usiione hadi 2035, unayo subira ya kiasi hicho?Mkuu yapo Mengi
Nenda morocco kila saa tano asubuhi
Kuna Land cruiser nyeusi zinatoka kijito wa nyama kwenda Feri kwa Mwenye soko lake
Mmoja anahusika
Kabisa inawezekana MkuuPole sana. Hutaiona Tanzania hadi 2026? Utaumia sana, huenda usiione hadi 2035, unayo subira ya kiasi hicho?
IJ haiangalii bahati, ni uchunguzi mdogo tuu jinsi ilivyo rahisi kwa mtu asiye raia kupenya kiurahisi hadi kuukwaa undetected!.Alafu akanasibishwa Jina alitanga tanga sana kaanzia Karagwe Kihanga wakahamia eneo fulani Mugakorongo kabla ya Uswahilini
Ila tuyaache bahati ya Mwenzio isikulaze Mulango wazi
Yes because we don't have strong system to curb the scenarioIJ haiangalii bahati, ni uchunguzi mdogo tuu jinsi ilivyo rahisi kwa mtu asiye raia kupenya kiurahisi hadi kuukwaa undetected!.
This is very dangerous to our national security!.
P
Hivi ndio vitu IJ ya ukweli itafanyika na kulisaidia taifa.Yes because we don't have strong system to curb the scenario
Wewe Ni mtu usielewa unalofanya mkuu kwani wewe kuacha kitu fulan Hadi utangazie umma as if kwamba unafaidika na kitu unachokifanya. Kwahiyo hata siku ukipigwa na mkeo Napo utakuja kututangazia kuwa huowi Tena si ndiyo..We have an alert concerning with abduction,
You won't Get me that easily
Mbona wapo wengi tu wa kuwakamata? Why me ,
Nimeshatangaza Kuacha Siasa hivyo niko Busy na Mambo yangu
Pole C.A.G
Pole Magoti
Pole Azory
Mimi ni CCM asilia we don't get scared kwa masanamu tumeyapeleka Karakana wenyewe
We have an alert concerning with abduction,
You won't Get me that easily
Mbona wapo wengi tu wa kuwakamata? Why me ,
Nimeshatangaza Kuacha Siasa hivyo niko Busy na Mambo yangu
Pole C.A.G
Pole Magoti
Pole Azory
Mimi ni CCM asilia we don't get scared kwa masanamu tumeyapeleka Karakana wenyewe
We Britannica, nimeacha siasa, nimeacha siasa, lakini, kila siku unaleta threads zaidi ya mia za siasa! Pumbavu!We have an alert concerning with abduction,
You won't Get me that easily
Mbona wapo wengi tu wa kuwakamata? Why me ,
Nimeshatangaza Kuacha Siasa hivyo niko Busy na Mambo yangu
Pole C.A.G
Pole Magoti
Pole Azory
Mimi ni CCM asilia we don't get scared kwa masanamu tumeyapeleka Karakana wenyewe
Impact itoke wapi Kwa mbwa koko ,kazi ya mbwa koko ni kukunja mkia na kubwekea RAIA wema ,magufuli siyo mbwa koko yeye acheki na kima popote walipo iwe ccm au serikalini au sekta binafsi yeye anang'ata matako tu ,ukisikia yalaaa ujue kang'atwa huyoWewe umejuaje kama hana Impact?
Mkuu ebu fanya utaratibu na mimi nije uko bhana, maana nshaanza kuona dalili za kutupiwa kesi la kutakatisha kaniki
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na wasiwasi magufuli lazima ataleta maendeleo Kwa sababu anacheza vizuri siyo kama nyerere kwenye kuwatambua adui wa maendeleo ambao ni wafanyakazi Wa serikaliniKuna codes kadhaa nimeshapewa alert na watu wangu , lakin Simaanishi wananijua mimi ni nani ila so vema kujiamini kuputuliza
Uzi nilileta kuwa Je Rais atawajibika kupotea kwa saa nane?
uzi huu una madhara nadhani
Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania
Akiwa Waziri katika awamu mbali mbali alikuwa ni mwana CCM na waziri anayefanya kazi na utendaji wake ulikuwa juu kuliko mtanzania yeyote aliyekuwa katika uongozi au sekta yeyote ile ya serikali, Utendaji wake ulikuwa mkubwa kuliko hata madaraka aliyo nayo, maono yake yaliona mbali kuvuka mipaka...www.jamiiforums.com
Nipo nyuma aisee nani aliliwa na chatuMkuu britanicca ninasikia wanataka maelezo zaidi kutoka kwako juu ya yule aliyeliwa na chatu.
Mmm kuna wenzetu wana sura za kunigeria