Sikatai Mama Mkwe Kunipenda Lakini?

Ndugu yangu nakupa pole. Katika maelezo yako mafupi, nahisi huyo mke umemwoa kwa sababu ya muonekano wake wala hamjajuana vya kutosha. Pengine katoka ktk familia well off na hayajui hayo unayfikiria kama mke lazima ayajue.
Pia nahisi wewe ktk mawazo yako mke ana jukumu ya kukufanyia yafuatayo
A. Akupikie
B. Akupigie pasi nguo za kazini
C. Akupigie brush viatu
D. Akufulie ngyo
E. Akutandikie kitanda
F. Akupokelee wageni kwa heshima na taadhima
G. Akufanyie usafi wote wa nyumba
H. Akupe manjonjo pale unapoyahitaji
I. Asikuulize swali maaana maamuzi yako ni ya mwisho
J.akuandalie staftahi pamoja na kukukorogea chai na kukuleetea pale ulipokaa
K. Akupakulie chakula na kukuletea pale ulipokaa
L. Akupelekee maji ya kuoga bafuni
M. Ahakikishe mtoto amekula na kadhalika

In short, tafsiri yako ya mke haijakamilika kama hajakufanyia hayo na pengine mengine zaidi ya hayo. Mlipokuwa wachumba hamkuyaongelea haya? Haukumweleza matarajio yako kuhusu majukumu yake? Je yeye alikwambia matarajio yake kwako?
Pengine mama mkwe kakuangalia wewe na mamekusoma wewe ni mwanaume wa aina gani ndio maana nanahangaika na wewe.
Nadhani hii ni nafasi nzuri ya wewe kuongea na mkeo ila kama she was not raised to be 'someones's wife' basi ujue hali yako ni tete maana unahitaji 'mke' na siyo mwenza.

Pole sana. Ndio kilimwengu
 
@Magulumagu

Ninavyokujua mimi.... huwa post zako zina maana ndani ya maana ndani ya maana.........
 
kumbe sivyo?
 


Yote umeandika ambayo nimesema mie nililelewa katika familia maskini na kufundishwa kila kitu Bi mkubwa, wakati tunakutana narudia tena, nilikuwa namfanyia kila niwezalo ili afurahie, sikuoa mfanyakazi ila mke na ubavu wangu wa kulia, sijaona mie usumbufu kufua nguo zake na zangu ingawa kuna mfanyakazi maana naamini ni moja ya mazoezi kwangu so kila nifanyalo home naamini is just a sport na nalifulahia nilifanyalo, napika, nanyosha nguo zake na zangu pia, kitanda sioni ajabu kutandika, hata yeye namtandika pia tukiridhiana, UMENISOMA nimesema Mama mkwe anaona kama nafanya kazi zisizokuwa zangu pindi wajapo home kwetu....We walk sometimes around jambo ambalo wanaume wengi hawapendi.....
 


Bi Mkubwa sorry nakuuliza kaswali kamoji tuuuuu...Kama una bwana au mme amewahi kukufulia nguo zako za ndani mara ngapi? maana mie haina mahesabu so am up yours and he wont pass my boundary in case of caring....
 

ahh nw nimekupata
kumbe wewe HAIKUKERI bali wamshangaa mama mkwe kwa anavyomuhurumia bnt yake kwa swaga unazomfanyia na anavyobweteka..
MANDHARI WEWE MWENYEWE UMERIDHIA BAS HAINA MBAYA..usijali wa pemben
 
Kumbe kinachokukera ni mama mkwe? Huyo sasa asiwaaingilie maisha yenu. Kama nyie mumekubaliana kufanya hivyo mnavyoishi mwambie mwanaye amwambie mama awaache kama mlivyo.

Kuhusu mimi kuwa na mume, ninaye tena wa miak zaidi ya kumi na sita. We are happy and life goes on. He does his thing I do my thing and we do it to the best of our abilities.
Ndoa yenu bado changa take time to learn from each other. Na wala usimruhusu huyo mama mkwe kuwafanya mfikirie otherwise.

Uzuri unapalilia ndoa. Ila ninachoona hapa pia hufurahii tabia ya mkeo kukuachia kazi ufanye wewe tu na yyeye anakuwa kama hajali.
 
ahh nw nimekupata
kumbe wewe HAIKUKERI bali wamshangaa mama mkwe kwa anavyomuhurumia bnt yake kwa swaga unazomfanyia na anavyobweteka..
MANDHARI WEWE MWENYEWE UMERIDHIA BAS HAINA MBAYA..usijali wa pemben


Halafu wewe Rose una akili sana, vipi jamaa yako anafanya hii mambo kama mimi? Je, na over doo kudekeza DODO langu na mama ake ana u halali wa kuona hayoyote? mie naogopa if am gone asije pata taabu my TUNDA...
 


Nafuraha kuliko yoyote BiMkubwa na sina Kinyongo nae, ila tu naona kama atapata shida if am gone au unaonaje wewe?
 

Tulishapalilia soon tunaanza mavuno Bi mkubwa na shamba linamea tu kwa sasa hahahahaha...utaalikwa kwenye kutoa mavuno nje mama ili yaonekane.....
 
lazima mkeo amemwambia mambo mama yake na anashindwa afanyaje zaidi ya kujitahidi kukuangalia kwa huruma na labda bado anaongea nae abadilishe mawazo

hivyo jaribu kuongea namkeo ujue tatizo lipo wapi

anaweza kuwa anampenda mtu mwingine au unsyoyafanya na hafurahii

kulala na wewe sio hoja kila mtu anahitaji hilo na sio kazi kumpa mme au mke

kuna tatizo nashangaa unafikiria kama mama mkwe anakutaka unashangaza kijana fungua macho
 

Mie sio mwizi weeeee...mama mkwe kazeeka man....
 
Halafu wewe Rose una akili sana, vipi jamaa yako anafanya hii mambo kama mimi? Je, na over doo kudekeza DODO langu na mama ake ana u halali wa kuona hayoyote? mie naogopa if am gone asije pata taabu my TUNDA...

ahh yaan dzain ni kurwa na doto na weew anafanya kila kitu ata km ajaambiwa
sema simruhusu kuwa HAUS BOY KM WEWE ..anafanya kdg tu mengne yote nafanya mimi...SIM OVA DU.
 
Generation dot com aftermath
 
Magulumangu, huyo mkeo mamaake hakumpa malezi mazuri, sasa mama sasahivi anagundua na inamtokea puani na anahofia mtoto wake nyumba itamshinda ndo maana anajaribu kuisimamia nyumba yenu ili tu afukie matuta yale ambayo mtoto wake hayaoni. Naasipo fanya hivyo anaogopa atatokea wakuyafukia na anayeweza zaidi. SHAKE WELL AFTER USE.
 


Kumbe umemdekeza mwenyewe..........watoto wa siku hizi hao hawatakiwi kuwazoesha misaada kama hiyo mapema hivyo.......inafika point kila kitu anakuchukulia poa.......iko siku utatoka safari atataka uingie jikoni ujipikie mwenyewe,sasa sijui nayo utafanya ni sport!........tusichanganye kusaidiana na kuendekezana.......wewe humsaidii ila unamuendekeza.....si ajabu hata watoto wako atakuja waharibu.......binadamu ni kiumbe wa ajabu sana....kuna mambo anaweza kubadilishwa wakati wowotw lakini kuna mambo anatakiwa awe molded from childhood....si ajabu mamamkwe kagundua kosa lake la kimalezi ndio maana ana wasiwasi sana!
 
mama yangu ndo alinilea vibaya mi naona, maana asingenizoesha kufanya yote hayo kungekuwa vingine, nakumbuka siku moja nilipoanza kumdate bibie alinambia eti mie gentle kila mwanamke atataka kuwa na mimi...

Sasa kama umezoea house cores unalalama nini? Nadhani alijaribu akaona unamletea manzi kwenye anga zake, akakuachia.

Tatizo lingekuja kama na wewe ungekuwa hujazoea au huwezi hizo shughuli. Hata hivyo kazi ya Mke sio kupiga deki, kuosha vyombo, kupika chapati na kutandika kitanda.
 

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, samaki mkunje angali mbichi.Huyo anaelewa sana, sema ulimzoesha hivyo acha kama wiki hivi jifanye kama hupo uone.ukiona habadiriki mwambie unaleta mwnamke mwingine amsaidie tu, halafu jioni anaondoka ila sio house girl, mwambie ni rafiki yako unataka amsaidie majukumu.Kama bado mwambie baba na mamake!
Naamini atabadirika, kama still bado tafuta nyumba ndogo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…