Siki za mwanamke kujirudia rudia ktk kipind kifupi

Siki za mwanamke kujirudia rudia ktk kipind kifupi

AZIMIO

Senior Member
Joined
Jun 15, 2011
Posts
188
Reaction score
52
Naomba kuuliza nikiamini hapa kuna wataalamu waliobobea,Nna mpenzi wangu siku zake hazieleweki sjui yupo kwenye mzunguko mrefu au mfupi n.k.anaweza leo ikawa siku yake baada ya wiki ikarudi tena ikapotea kwa wiki mbili ikarudi tena yaani bila mtiririko unaotakiwa kwa hiyo inaniwia vigumu mimi kujua siku zp nzuri na siku zipi za hatari.nimejaribu kumuuliza anasema hata yeye haelewi ingawa tayari tuna mtoto mmoja sasa.
Naomben msaada wa mawazo nikiamini humu kuna Madoctor watakao toa ufafanuzi ulio sahihi na makini wa kunisaidia.
 
Back
Top Bottom