Sikia kwa jirani ila constipation ni balaa

Siku tatu hukujua Msalani kulipo sasa hata haja ndogo ulikuwa unamalizia wapi?.
 
Siku tatu hukujua Msalani kulipo sasa hata haja ndogo ulikuwa unamalizia wapi?.
kweli kusoma shida sana nimekuambia kuwa ni kijijini au ww ni wa kishua
 
Siku tatu hujapata choo hata ushituki
Mkuu nimefanya tafiti. Ukinya leo ni chakula ulichokula ijumaa. Chakula utakochokula leo utakunya jumanne. Halafu mkojo unakuwa wa njano unapokuwa umebanwa tu sana. Usipobanwa sana ukakojoa mkojoo unakuwa clear
 
Neno "kontawa" lina maana gani?
 
Mkuu nimefanya tafiti. Ukinya leo ni chakula ulichokula ijumaa. Chakula utakochokula leo utakunya jumanne. Halafu mkojo unakuwa wa njano unapokuwa umebanwa tu sana. Usipobanwa sana ukakojoa mkojoo unakuwa clear
umeonge fact mkouliku njano pure
 
Pole kwa masaibu!
Hiyo ni Tz, wengine mjini wamejisahau na wamemaliza, kuwa hakuna sehemu za nchi hii ambako hakuna maji safi kwa matumizi ya binadamu. Je hayo maji yao wanayachemsha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…