Sikia kwa jirani ila constipation ni balaa

Siku nyingine tafuta juisi ya ukwaju. Iwe ya azam au ya kienyeji. Ni dawa nzuri sana ya constipation.
 
Pole kwa masaibu!
Hiyo ni Tz, wengine mjini wamejisahau na wamemaliza, kuwa hakuna sehemu za nchi hii ambako hakuna maji safi kwa matumizi ya binadamu. Je hayo maji yao wanayachemsha?
hawachemshi huo mda hawana wana anika kwenye jua tu basi. au wanaweka kwenye mtungi kazi kwisha
 
Siku nyingine tafuta juisi ya ukwaju. Iwe ya azam au ya kienyeji. Ni dawa nzuri sana ya constipation.
hayo yako mjini mimi nazungumzia kijijini mkuu utaenda na ukwaju kwa mda gani kama una kaa mwezi je
 
Sasa si ndio kwenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…