SIKIKA wameita?

itagata

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
210
Reaction score
71
Mimi ni mmojawapo wa watu tuliofanya interview huko wilaya ya Iramba na walidai kuwa wangetujulisha baada ya wiki moja kupita. Naona wiki imepita na bado kimya, kama kuna mtu ana taarifa zozote naomba anijuze basi.
 
only hu r qualified wil b kontakted, ur nt qualified, u wont b kontakted..
Best kama walisema aftr a week and ts past olead then sahau..
 
Umekosa mkuu,jaribu sehemu nyingine
 
pole mkuu bahati mbaya nadhani umekosa, dada yangu kapewa hiyo kazi km nafasi ilikuwa moja, alipigiwa majuzi.
 
pole mkuu bahati mbaya nadhani umekosa, dada yangu kapewa hiyo kazi km nafasi ilikuwa moja, alipigiwa majuzi.
Asante mkuu kwa taarifa, ngoja niendeleze mashambulizi ya kumtafuta ''mdudu'' ajira anayesumbuwa vichwa vya vijana wengi nchini.
 
pole mjomba ndiyo maisha yalivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…