Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Jamaa naona bado mchanga sana kwenye uelewa wa hii tasnia.

Yaani hapo kwenye BPM pengine amekariri, Mf. Mesen selekta _ kinanda ni (100.0 Bpm), na Darassa ft Sho majozi- I Like It ni (101.0 Bpm).

Ninachoona hapa jamaa hajui tempo ya (100.0 Bpm-kinanda) unaweza kuipandisha kidogo ikawa (101.0 Bpm) ukai-mix kwa pamoja na Darassa _I like it (101.0 Bpm).

Labda kama anamaanisha transition mfano, lowest tempo (90 Bpm) to the highest Tempo (100 Bpm) Transition.
 
Kutoka 90-100 ni gap kubwa sana..ila kuhusu ni 100to101 hiyo hailet madhala sijui yeye almaanisha nn mkuu..

Pia kuna zingine pia inaweza kuwa na 140 ikapanda vizur tu na bpm70..
 
Kutoka 90-100 ni gap kubwa sana..ila kuhusu ni 100to101 hiyo hailet madhala sijui yeye almaanisha nn mkuu..

Pia kuna zingine pia inaweza kuwa na 140 ikapanda vizur tu na bpm70..

Huo ni mfano tu nilitoa kuhusu hiyo transition ya kuhama tempo ya chini kupanda juu.

Yeah!! Ni kweli maana hatuwezi kufahamu alimaanisha kitu gani.

Hilo tuliache kama lilivyo;

Yeah!! ni kweli kabisa wala hujakosea mkuu, ...Tempo za 140 au 150 unaweza kuzi-mix bila tatizo na hizi za 70 au 80.
Hiyo nayo ni technical nzuri pia
 
Afu mkuu nifanyie wepesi kwenye hizi extended/Intros

hapa chini;
[emoji116] [emoji116] [emoji116]

Young Gully _ No way extended

Ayo jay_ your Number extended

Tok _Gal yuh a lead extended

Nikizipata nitakushukuru sana, sana sana, japo kukulipa kwa wema wako sintoweza mkuu.

Natanguliza shukrani, [emoji120] [emoji120] [emoji120].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…