Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Mix ya bongo way back season B(1) ni kali ila hujaitendea haki mkuu

Wimbo una play haufikishi hata sekunde 10 unakata mkuu?

Daaaah!! Sio poa mkuu
 
Sure. Hilo la nyimbo kukata kata alirekebishe..
 
Mix ya bongo way back season B(1) ni kali ila hujaitendea haki mkuu

Wimbo una play haufikishi hata sekunde 10 unakata mkuu?

Daaaah!! Sio poa mkuu
Mkuu nitajirekebisha..japo nafanyaga hivo coz nymbo tamu zipo nyingi
Ukisema zipige mpk mwsho..itakuwa nonstop ya masaa mngi...utaziboa mapema..
 
Pamoja sana ndugu...please usisahau amapiano club bangers vol.2..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…