Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Daah, Whats love ya Haddaway ndio ulikuwa wimbo wa kwanza niliucheza Nightclub na Exparts wa kizungu (Waingereza)nikiwa chalii mdogo huko Arusha, Crystal club miaka ya 90.

Pamoja na ''I have been thinking about you'' wa London beats
 
zote zipo humo mkuu
 
haina noma mkuu....
Vp Leo unaweza kutoka Paris anapiga dj side nadhani wa kwa matipa.ni PM tukutane Leo nimetoka mtwara ila kesho me naenda masasi bado Niko likizo..iwe Leo TU dj wangu unipe vitu nikupe haki yako njoo na laptop..Kama NI jion ya saa moja una time iwe mashujaa km night njoo paris
 
nipo hapa job...iwawa...ipo jiran na paris hapa
 
Reactions: Lee
Dah! Kuna wasanii huwa nawamiss sana...ule mziki wao japo wa ktambo,

kuna wadada walikuwa wanaitwa.Hot girls

kuna h mbizo

piq black

suma lee

solid ground famil

k basil

stara thomas

solo thang

prof ludigo producer

dataz

mo thymes,

d m a wangu wa ndan

University corner

Gorilla killers

Tng squad

Buff g

Sna lee aka snoop lee(mic nadaka)

Snare

Stan boy(alikuaga east coast team)

Renee

Raha p

Jiti

Soggy dogy

........

.......

.......

.....

Wewe unamkumbuka nani???

Hivi hawawezi kurudi katika game hawa jamaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…