Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Mkuu slow jam za kutafutia usingizi za enzi hizo kama Boyz to men, r kely, joe thomas, mariah carey, whitney huston, boyzone, backstreet boyz, az yet, swv, westlife nk nk
Basi basi, usimalize uhondo
 
Mkuu slow jam za kutafutia usingizi za enzi hizo kama Boyz to men, r kely, joe thomas, mariah carey, whitney huston, boyzone, backstreet boyz, az yet, swv, westlife nk nk
mbona nishaziweka humu...angalia mixing
1.bedtime
2.rnb 90
3.slowjams
4.rnb masters
Mixed by dj nasmiletz...page ya kwanza kabisa
 
Bolingo time vol 1 iko poa lakini baadhi ya nyimbo zinasikika kwa quality mbovu (hazina mchicha) halafu kwenye mixing zako naona wakati mwingine unapandisha nyimbo zenye temple tofauti hali ambayo inakulazimu kushusha pitch hadi inakuwa sio ya kuchezeka kama vile nyimbo za bolingo zinatakiwa ziwe, halafu kwa nyimbo bolingo scratching huwa hazipendezi na upunguze ku-loop.........ni hayo tu machache kutoka kwangu Dj mstaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…