Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

nashukuru sana kwa ushauri mr dj....nitarekebisha hilo
 
Ni kuskiliza online tu labda ni sign in sijajua
hapana ukiangalia vizuri pale juu kwenye hiyo mixing kuna kialama kama mshale hivi kimeangalia chini..ukibofya hapo inaanza kudownload..... angalia vizuri mkuu...kuna sehem ya comment, like na hicho kimshale
 
Seen thanx
 
Hii ilitupiwa humu??? Naihitaji
 
DJ nataka mixing kama tatu. Ila usiniwekee vikorombwezo vyako.

1. Old bongo flavour.
2. New Bongo Flavour
3. Dancehall

Nipe muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…