Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

Mwamba mambo vipi?
Nimejaribu kukucheki kwa mawasiliano yako na PM pia but no response.

Okay ni hivi; Nimecompile nyimbo kadhaa za mbele za miaka ya mwanzoni mwa 2000 kuja juu, nahitaji unitengenezee playlist/mix yake (napenda both video na audio). Ukiona mahadhi ya nyimbo utaweza kuongezea utakazoona zinafaa.

Nicheki basi tuone tunafanyaje.
 
Sikuwa hewan...nitext 0627474141
 
Mkuu kwema nahitaji jina la app/software zile za kufanya mixing kwa pc kuongeza ladha wakat wa kuplay nyimbo
 

Attachments

  • Screenshot_20230608-230959_GBWhatsApp.jpg
    47.6 KB · Views: 27
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…