Sikiliza hapa Dj mixing /non stop

jamani kwema humu?
Deejay nasmile umepotea sana kaka..

kuna mixing moja hivi ya nyimbo za bongo flavour nakumbuka mwanzo inaanza na matatizo ya diamond platnumz, ndani humo pia kuna amepotea ya Mbosso..

Naiomba sana kama unaikumbuka au kama kuna mwana JF Ameshaipata anitumie..

nimeitafuta sana siioni tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…