Jensen salamone
JF-Expert Member
- Sep 28, 2019
- 320
- 641
Nimefanikiwa mkali ndo niko naenjoy hapa....Poa ukifanikiwa nambie
Yanakuja keenye vol 2&3Nimefanikiwa mkali ndo niko naenjoy hapa....
Ila kwenye mix ya rhumba ungatupia haya mangoma playlist ingekaa bomba sana
Madillu system- ya jean
Franco ft madillu system- mamou
Oliver ng'oma -bane
Monique seka- okaman
Mbilia bel- nadia
Mbilia bel- nakei nairobi
Gatho beevan- azalaki awa
Ngoma za Tshala muana
Mbilia bel -boyaye
Sawa mkali tatizo mimi huwa nasikiliza lakini sijui kuzitofautisha...Yanakuja keenye vol 2&3
Japo Hapo umexhanganya na zouk nazo zitakuwa kwenye mix yake
Mi nipo dar mwananguMi nipo dodoma.mkuu we wapi
Thank you for being positivesawa kiongozi...wengi wamesema hivo..next epsod hazitakuwa na mbwembwe
Umeona eehMods wekeni pin huu uzi tusiwe tuna hangaika kuutafuta....
Poa mkuu..nitazimixKuwepo na mix itayohusisha mikito kama hii
If love is a crime
Miss independent
Oujelgba ya wizkid
African queen
Replay -iyaz
Paper loving ya christopher martin
I'm I dreaming
Na nyingine kama hizo
Poa mkuuMix ya nyimbo za taratibu. Bongo, afrika na ulaya
Mariah careh -touch my body
Meddy - slowly
Shania twain - forever and for always
Shania twain - when you kiss me
Marc antony - you sang to me
Jiddena - bambi
Mr flavour -chinny baby
West life songs
Baby madaha - amore
Maunda zorro - mapenzi ya wawili
Maunda zorro - nataka niwe wako
Diamond - kamwambie
Alikiba -mapenzi yana run dunia
Jonh legend- all of me
R city- locked away
Broken angel
Diamond X papa wemba
Poa poaUsisahau kutengeneza na mix ya nigerian flavor ikiwa na hizi nyimbo itabamba sana
Simi- jericho
Simi- duduke
Simi- ayo
Simi- joromi
Di' ja- awww music
Di'ja - falling for you ft patoraking
Chidnma -fallen in love
Tiwa savage - all over
Patoraking - suh different
Patoraking - girlie O remix ft tiwa savage
Olamide- motigbana
Major lazer - particular
Mafikiz zolo- love potion
Run town - for life
Run town - mad over you
Burna boy- on the low
Burna boy - collateral damage
Mr flavour - oyi remix
Joe boy -baby
Joe boy - beginning
Wiz kid - ghetto love
Wiz kid - joro
Namba hii mkuu tenA itakuwa poa sana.maana sometimes nachelewa ku upload kwa sababu ya Mbs n.k 0623012512Dj inabidi aweke namba zake au account awezeshwe kidogo maana tunaburudika na kazi zake
Karibu sanaSafi sana huu uzi..
Sawa djKama wewe ni dj au mdau wa muziki.hapa unaweza kusikiliza na kudonloqd nyimbo zilizotengenezwa na madj. Yaan mixing au nonstop mix kutoka djs mbalimbali
Haya naanza na hii. Inanyimbo mpya za 2021 tupu hiphop and afropop bongoflava
Dvj Nasmiletz- PainsKiller mix jan 2021