The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Tunalipa kodi, wanachukua mikopo kwa ajili ya hizo familia kutumbua na watu wa karibu. Wamesahau hata wanasimamia nini, kwanini CCM ilianzishwa.Hawa jamás CCM Wametufanya watanzania kama mandondochaa. Wanajipigia hela kama hawana akili nzuri..ndiyo maana wanarisisha madaraka Kwa watoto wao.
View attachment 3226062
Ccm ni mchwa wanakula hawashibiHawa jamás CCM Wametufanya watanzania kama mandondochaa. Wanajipigia hela kama hawana akili nzuri..ndiyo maana wanarisisha madaraka Kwa watoto wao.
View attachment 3226062
Hawa jamáa CCM ni Hatari vibaya mnooCcm ni mchwa wanakula hawashibi
Ni shidaaChukuwachakomapema katika UBORA WAKE!