Jana usiku nilikuwa nasikiliza radio free afrika (RAF) kipindi cha tiba mbadala kinachoendeshwa na mtu anayejiita Dr. Isaac Ndode. Katika maelezo yake huyu bwana akadai kuwa mwanaume anapofanya mapenzi na kupiga mshindo mara moja hufupisha uhai wake kwa dakika 3. That means kila mshindo unapunguza dakika 3 katika uhai wa mwanaume. Hili lina ukweli wowote jamani?. Vipi wale walio kwenye ndoa ambao kumegana na wake zao nio order of the day?? Mkuu X-pin na vikuku vyako vya kienyeji huko uswazi unasemaje?
Huyo Jamaa hana lolote. Uzuri wa nji hii kila mtu anaweza kuwa atakavyo: Askofu, mchungaji, daktari, nk hakuna anayehoji! Hatuna standards
sasa ukisikia hivyo na upo mzigoni si kila kitu kinasizi? watu na vipindi vingine sio vya kusikiliza!
Laligeni ulikuwa na 'tatizo' gani hadi ukawa unamsikiliza huyo daktari wao?
Vipi hii ya kusema mshindo mmoja unapoteza energy sawa na kutembea kilometa 7? Ina ukweli?
Hahaha! Fidel angekuwa katika miaka ya mwisho ya uhai wake hivi sasa! Manake vya uswazi anavyo vya kuhesabu kwa kalkuleta.
Jana usiku nilikuwa nasikiliza radio free afrika (RAF) kipindi cha tiba mbadala kinachoendeshwa na mtu anayejiita Dr. Isaac Ndode. Katika maelezo yake huyu bwana akadai kuwa mwanaume anapofanya mapenzi na kupiga mshindo mara moja hufupisha uhai wake kwa dakika 3. That means kila mshindo unapunguza dakika 3 katika uhai wa mwanaume. Hili lina ukweli wowote jamani?. Vipi wale walio kwenye ndoa ambao kumegana na wake zao nio order of the day?? Mkuu X-pin na vikuku vyako vya kienyeji huko uswazi unasemaje?
Jamani, naomba niwaeleweshe kwamba ukweli upo kabisa katika mambo haya.Vipi hii ya kusema mshindo mmoja unapoteza energy sawa na kutembea kilometa 7? Ina ukweli?
Jamani, naomba niwaeleweshe kwamba ukweli upo kabisa katika mambo haya.
The thing is:,kama utafanya tendo hilo bila kufanya repair ya mwili, kwa maana ya kula vizuri, yaani balancing the diet, kweli kabisa utakufa haraka sana kwa hesabu hiyo aliyoitoa.
Imagine hali anayokuwa nayo mtu akishapiga bao moja...uchovu wa kufa na usingizi mkali, mwili ukiwa umerelax haijapata tokea, huoni kwamba lile ni tendo lapekee sana?...
Hata mbeba lumbesa wa shimoni hafikii hata nusu ya kuchoka kulinganisha na tendo lili!
Think about it...imagine...tia akili...stuka!
..Ah! mazee si unajua katika kutafuta flavour mbali mbali ndio nikakumbana na huyo jamaa ukizingatia ilikuwa ni saa 4 usiku na nilikuwa najiandaa kuanza operesheni zetu zileeeeee..mh! alitaka kunipotezea handasi kabisa...maana mdau alinitolea macho kuwa nipungeze vinginevyo uhai unapungua!!!!Huyo Jamaa hana lolote. Uzuri wa nji hii kila mtu anaweza kuwa atakavyo: Askofu, mchungaji, daktari, nk hakuna anayehoji! Hatuna standards
sasa ukisikia hivyo na upo mzigoni si kila kitu kinasizi? watu na vipindi vingine sio vya kusikiliza!
Laligeni ulikuwa na 'tatizo' gani hadi ukawa unamsikiliza huyo daktari wao?
Jana usiku nilikuwa nasikiliza radio free afrika (RAF) kipindi cha tiba mbadala kinachoendeshwa na mtu anayejiita Dr. Isaac Ndode. Katika maelezo yake huyu bwana akadai kuwa mwanaume anapofanya mapenzi na kupiga mshindo mara moja hufupisha uhai wake kwa dakika 3. That means kila mshindo unapunguza dakika 3 katika uhai wa mwanaume. Hili lina ukweli wowote jamani?. Vipi wale walio kwenye ndoa ambao kumegana na wake zao nio order of the day?? Mkuu X-pin na vikuku vyako vya kienyeji huko uswazi unasemaje?
Ehee endeleeni nawasikiliza........... for references
..Tehh! teehh teehhh kumbe mazee ulinyaka hiyo? Unajua mjamaa inavyoelekea watu wengi ameshawajaza ujinga kiasi kwamba wanamuona kama nabii fulani pongezi za kufa mtu sijui kama wanayoelezwa na huyu bwana wanayatafakari kwa kina... NI hatariiiiii.Mpya zaidi aliposema kuwa moyo umeumbwa kusukuma lita 3 za damu kwenye UUME sasa kama umeurefusha kwa dawa au chchote moyo unakuwa hauna taarifa hizo hivyo hiyo damu haitatosha kuufanya uwe ngangari. hiyo ziada iliyoongezeka itakosa damu ya kutosha. JAMAA ANA MAJAMBOZI YA AJABU-Mungu ambariki