Sikiliza Kabudi anavyojiuma uma ulimi kumteteaa Rais wa Malawi

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Mtu ni mtuhumiwa halafu anaunda tume! Rubbish!


Your browser is not able to display this video.
 
Rais Fake Kapatikana kwa kura Fake na kapatikana kimiujiza yani kura zilipigwa Milioni 32.7 kwa muda wa saa 6 pekee.

Zikahesabiwa ndani ya saa 72 .
maana yake kura 126 zilihesabiwa kwa sekunde 1 na kura 7569 kwa dakika moja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…