Sikiliza:
Katiba ya Kenya inawapa fursa walio shindwa katika uchaguazi kupeleka malalamiko mahakamani ili kuhakikisha uchaguzi wa haki. Mgombea wa uraisi aliyeshindwa katika uchaguzi wa Kenya, Raila Odinga, apeleka malalamoko mahakama ya kupinga matokeo ya usaisi wa August 9 ulio mpa ushindi mpinzani wake William Ruto.
Mchambuzi anataja njia tano ambazo Raila Odinga atatumia kupinga matokeo ya usaisi, ambazo ni. Kuzingatia ibara ya themanini kifungu cha nne cha sheria za uchaguzi wa Kenya (Election act) mwaka 2011, kwasababu supreme court haibanwi na sheria, Raila Odinga anaweza kuiomba supreme court kufanya Tally (kurudia kuhesabu kura) na kama Raila Odinga atakua ameshinda watumie.
Mfumo wa George Bush na Al Gore (Mfumo ulio tokea Marekani mwaka 1886) kwa kushinikiza tume ya uchaguzi ya chibukati kumtangaza Raila Odinga kuwa mshindi (president elect), kama kwakutumia njia ya tally itaonyesha kuwa wagombea hao wanakura sawa watumie njia ya Rerun(re-election), pia kutumia njia ya kuikagua tume ndogo za uchaguzi ambazo zilichaguliwa kuisaidia tume kuu ya uchaguzi ili kuepuka matokeo yasio ya haki.
Raila Odinga awasili mahakamani tarehe 23 August 2022, akiwa na mawakili wapatao 60 na maroli yalio jaa fomu za uchaguzi kama ushaidi, Raila Odinga awasilisha malalamiko yake juu ya matokeo ya uchaguzi wa uraisi August 9 2022.