X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,605
- 1,843
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili halina shida kama anavyosema Maalim sheria lazima zifuatwe na hili si geni hata bungeni lilishajadiliwa na serikali ilitoa tamko la kuunga mkono sheria za umiliki ardhi Zanzibar kwa kua eneo lake ni dogo haiwezekani kila ajaye amilikishwe...lenyewe litahitajika kwa kilimo, uwekezaji na makazi ya watu n.k. Ila hii haiondowi fursa nyingine za faida ya matumizi ya ardhi kwa wageni kama unataka kuwekeza sheria za uwekezaji zipo wazi.Swala la kumiliki ardhi bado linanitatiza.