Bila kujali kuwa ni porojo au vinginevyo lakini mikakati tu husika inatoa fursa kwa njia nyingine kuwa kumbe ukitaka kuikwamisha serikali njia rahisi ya kupita ni moja mbili tatu .
Hii mbinu ya kuiparalyze serikali ni mbinu mujarabu sana zaidi hata ya kuwangiza vijana mabarabarani .
Kimsingi huyu bwana Habil bila hata kujali actions zake lakini anachokifafanua ni kazi yakituke sana kwa yeyote mwenye nia ya kuhakikisha serikali inakwama anaweza kuzitumia hizo mbinu na akafanikiwa kulifikis lengo.
Binafsi naona ni battle nzuri na serikali kama itapuuza inaweza kupata changamoto zisizo na ulazima .