Naunga hoja mkono. Ahh! Naunga mkonyo hoja...Tupe hela ya bundle
Vipi ametukana tena? Maana alisema Kitu chake tight hana rambo na One time for mofo na amekuja kuwashika all mofoz.Sikiliza Wimbo Mpya wa Rosa Ree Unaitwa What You Know...Huu ni wimbo uliokatika mahadhi ya Raggae umerekodiwa South Afrika na Producer Anayeitwa Sakhile
Bonyeza Play Kusikiliza: